BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja , Wamarekani wanapiga kura katika uchaguzi muhimu kwa urais wa Trump
Kadiri vituo zaidi vinavyofunguliwa kote nchini humo, wapiga kura watakuwa wakiwachagua wagombea katika uchaguzi muhimu utakaoamua uwiano wa nguvu katika Bunge la Marekani (Congress) pamoja na nafasi za ugavana katika baadhi ya majimbo.
Jenerali mstaafu wa Uganda Elwelu akamatwa kwa madai ya uasi
Taarifa ya kukamatwa kwake ilitangazwa Jumatatu jioni na kaimu msemaji wa Jeshi la Uganda (UPDF), Kanali Chris Magezi, kupitia mtandao wa X.
Tahadhari za mabomu zatikisa safari za ndege Ulaya
Ndege moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Heathrow jijini London ililazimika kutua nje ya ratiba katika Uwanja wa Ndege wa Warsaw Modlin nchini Poland.
Utulivu kati ya Marekani na China ni wa kupotosha - The Guardian
Hisia zilizokuwepo awali kwamba Beijing na Washington zinaelekea kuafikia makubaliano ya wazi ya kiuchumi zimepungua, huku masuala mengine yakichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kimataifa.
Trump kuiondoa Rwanda na Afrika Kusini katika mpango wa biashara wa Marekani
Kwa mujibu wa Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, tathmini ya kila mwaka imebaini nchi hizo zilikiuka masharti ya mpango huo.
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu: Tulifikaje hapa?
tunaangazia matukio muhimu kuelekea kukamatwa kwa Tundu Lissu na kufikishwa Mahakamani kwa shitaka la uhaini na namna kesi hiyo ilivyofika hatua ya kusubiri hukumu.
Laika: Mbwa wa mitaani aliyemtangulia binadamu kufika anga za juu
Kabla ya safari za kwanza za binadamu kwenda angani, mbwa wa kike walifundishwa kukabiliana na safari hizo zilizokuwa na hatari kubwa.
Filin: Kwa nini kombora hili jipya la Urusi ni tishio?
Kuanzia mwishoni mwa majira ya kiangazi ya mwaka 2026, Urusi itaanza kutumia kombora la masafa marefu la Filin kuishambulia Ukraine; kombora dogo kiasi na huenda likawa na gharama ndogo, lakini lenye uwezo mkubwa wa kuvutia kulingana na sifa zilizotangazwa.
Wanasayansi wafafanua kwanini tunauwezo wa kuona mapepo na kuhisi uwepo wa viumbe visivyoonekana
Wakati wa hali ya kupooza kwa muda ukiwa usingizini au sleep paralysis, watu wanaweza pia kupata ndoto za kuona au kuhisi vitu kwa uhalisia mkubwa sana, zikiwemo hisia za kimwili.
Lissu aitaka familia kumpa kaka yake mazishi ya heshima
Akiwa mahakamani, Lissu alitoa maelekezo hayo kwa familia yake, akisisitiza kuwa kaka yake anapaswa kupewa mazishi yanayostahili.
Wanawake 10 waliobadili mtazamo wa dunia kuhusu Afrika kupitia uvumbuzi wao
Kuanzia Mary Kingsley, aliyechunguza Afrika Magharibi mwishoni mwa karne ya 19, hadi Beryl Markham, aliyekuwa mwanzilishi wa safari za anga barani Afrika, kila mmoja alichangia kwa namna yake kubadili mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu bara hili.
Tetesi za soka Jumanne: Arsenal wamnyatia Kroupi katika dirisha la usajili la Januari
Mabingwa wa Ligi Kuu ya England, Arsenal, wanataka kuimarisha safu yao ya ushambuliaji kwa kumsajili mshambuliaji wa Bournemouth, Eli Junior Kroupi, huku Manchester United ikifuatilia wachezaji wanne wa Borussia Dortmund.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwanini uchaguzi wa katikati ya muhula Marekani ni muhimu kwa Trump?
Tarehe 3 mwezi Novemba, raia wa Marekani watawachagua wajumbe wa Bunge la Congress, ambalo linaundwa na Baraza la Wawakilishi na Seneti.
Netanyahu: Siri ya kurejea madarakani licha ya kushindwa mara kwa mara
Netanyahu anakabiliwa na mtihani mpya baada ya uchaguzi wa Israel wa tarehe 27 Oktoba 2026, uliofanyika baada ya miaka ya vita, wasiwasi kuhusu usalama na mijadala kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
Wakosoaji wa serikali ya Rwanda ambao vifo vyao vimezua maswali
Serikali ya Rwanda imekanusha madai ya kuhusika katika vifo vya wakosoaji wake, lakini baadhi ya matukio hayo yameendelea kufuatiliwa na mashirika ya haki za binadamu kutokana na maswali yaliyoibuliwa kuhusu mazingira ya vifo hivyo.
BBC: Jinsi hospitali zilivyolengwa makusudi na wapiganaji wa RSF Sudan
Uchunguzi wa BBC umebaini ushahidi kwamba wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Rapid Support Forces (RSF) waliharibu mfumo wa huduma za afya wa mji wa el-Fasher.
Israel na Marekani kwenye uchaguzi: Kwa nini dunia nzima inasubiri matokeo?
Matokeo ya chaguzi hizi mbili yanatarajiwa kuwa na athari kubwa si kwa mustakabali wa nchi hizo pekee, bali pia kwa vita vya Iran, usalama wa Mashariki ya Kati na uchumi wa dunia.
PHP ni nini, kwa nini ilisababisha taharuki ya usalama wa mtandao duniani?
Ilichukua uwezo wa akili mnemba (AI) kuyafichua mapungufu, jambo lililosababisha tahadhari ya kimataifa kuhusu usalama wa mtandao.
Kisiwa ambacho kuku ndio 'mabosi': Jinsi kuku wa mwitu walivyotawala Hawaii
Maelfu ya kuku huzurura kwa uhuru katika fukwe zenye mchanga mweupe, nje ya milango ya benki na kwenye maegesho yenye shughuli nyingi. Hakuna anayewamiliki, hakuna anayewafungia kwenye mabanda, na cha kushangaza zaidi, ni nadra kuwaona wakifanywa kitoweo.
Ndani ya mtandao wa siri wa hujuma dhidi ya Putin nchini Urusi
Wanaume wawili wa Urusi wameeleza kazi wanayodai kuifanya kwa siri kusaidia Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Ukraine (GUR) katika vita dhidi ya Urusi. Wanasema wamekuwa wakikusanya taarifa za kijasusi, kufuatilia malengo ya kijeshi na kusaidia operesheni zinazolenga miundombinu na maafisa wa kijeshi wa Urusi.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC4 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia3 Novemba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC3 Novemba 2026, 06:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC3 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































