Mwaka mpya washerehekewa

Iliyochapishwa

Mwaka mpya wa 2015 washeherekewa kote duniani

Fataki zarushwa katika jumba la Opera nchini Sidney
Maelezo ya picha, Watu kote duniani wamekusanyika katika maeneo tofauti kuukaribisha mwaka mpya huku mataifa ya Newzealand na Australia yakiongoza Sherehe hizo
Fataki zarishwa kutoka kilele cha jumba la Sky Towe
Maelezo ya picha, Mji wa Auckland ulikuwa wa kwanza kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 huku fataki zikirushwa na muziki ukichezwa
fataki zaling'arisha jumba la Opera mjini Sidney
Maelezo ya picha, Maonyesho ya fataki ya mapema mjini Sidney Australia yalitoa kionjo cha sherehe zilizotarajiwa mjini humo huku zaidi ya fataki 10,000,nyota mkia 25,000 zikitarajiwa kutumika
Wakaazi wakusanyika katika badanri ya Sidney kusheherekea mwaka mpya.
Maelezo ya picha, Wakaazi wa mji wa Sidney walikusanyika mapema siku ya jumatano ili kuweza kuona mawanaza uliokuwa ukitokea.
wahubiri wa shinto wakitembea.
Maelezo ya picha, Wahubiri wa shinto wanafanya tambiko la kuukaribisha mwaka mpya katika eneo la ibada.
wanafunzi wajipanga katika barafu kuukaribisha mwaka mpya 2015
Maelezo ya picha, Wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimo nchini Uchina walikuwa na njia yao ya kipekee kuukaribisha mwaka mpya 2015
Mwanafunzi na michoro ya kondoo
Maelezo ya picha, Mwaka 2015 ni mwaka wa kondoo nchini Uchina kama anyoelezea mwanafunzi huyu wa mashariki mwa mkoa wa Shandong
Mwanamke na mwanamujme waliovalia kama father Krismasi
Maelezo ya picha, Father Krismas wa Urusi pamoja na wajukuu wake wakihudhuria gwaride la kuukaribisha mwaka mpya nchini Kyrgyzstan