Kwa picha:: Kuijenga upya Somalia
Iliyochapishwa
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, hadi mwaka jana ulikuwa mji uliogawanyika. Kundi la wapiganaji al-Shabab likidhibiti sehemu nyingi za mji. Al-Shabab sasa imeondolewa mjini humo na watu wanaanza kuujenga upya mji huo.




























