Kampeni za kuunga mkono na kupinga kura ya maoni ya katiba ya Kenya.
Maelezo ya picha, Rangi maridadi zimetawala kampeni za kura ya maoni ya katiba nchini Kenya, hapa ilikuwa Narok mkoa wa Rift Valley, kambi ya ndiyo inatumia rangi ya kijani.
Maelezo ya picha, William Ruto, mmoja wa vinara wa kampeni ya hapana akiwa na wafuasi wake waliopambwa kwa rangi nyekundu.
Maelezo ya picha, Ulinzi mkali, ni sehemu muhimu ya kampeni salama.
Maelezo ya picha, Hata iweje, "siungi mkono", anaonekana kusema mwananchi huyu, au anasema ON? Lakini msimamo wake unaeleweka.
Maelezo ya picha, Mchanganyiko wa kambi za hapana na ndiyo huko Narok.
Maelezo ya picha, Akina mama wako mstari wa mbele kuhudhuria mikutano ya kampeni ya kutafuta katiba mpya ya Kenya.