Siku ya Xherdan Shaqiri, Sherehe za Nigeria na Neymar!, Serbia 1-2 Uswizi
Mkombozi wa Uswizi Xherdan Shaqiri.....Wa Nigeria....Ahmed Musa....na Wa Samba boys ni Neymar!
Ingawa klabu yake ya Stoke City imelishwa upanga, haijamzuia Xherdan Shaqiri kunawiri Russia 2018.
Mbona ukose kuwa nasi kesho?
KUNDI G: Belgium V Tunisia: uga wa Spartak: Moscow
KUNDI F: Jamhuri ya Korea V Mexico: Rostov Arena - Rostov-On-Don
KUNDI F: Ujerumani V Sweden: Uwanja wa Fisht
....Kutoka meza ya BBC Kombe la Dunia, shukran kwa kuwa nasi leo.
Tunawatakia wikendi njema.......!

Chanzo cha picha, Reuters

Chanzo cha picha, BBC Sport

Chanzo cha picha, Rex Features










