Elon Musk ageuza ofisi ya Twitter kuwa 'hoteli' ya kulala kwa wafanyikazi

Picha moja inaonyesha chumba cha watu wawili kilicho na kabati la nguo na sapats, wakati Elon Musk anajaribu kusisitiza utamaduni wa kufanya kazi kwa "juhudi zote".