Iran, Marekani zakubaliana kusitisha mapigano kwa wiki mbili na kufungua Mlango Bahari

Pakistan imealika wajumbe watakutana Islamabad siku ya Ijumaa, Aprili 10, "kutatua migogoro yote", baada ya rais Trump kuonya kwamba "mfumo mzima ungeangamizwa" ikiwa Iran haitafikia makubaliano.

Muhtasari

Karibu katika matangazo yetu mubashara ya tarehe 08/04/2025.