Raia wa Greece waandamana mjini Athens

Maelezo ya sauti, Raia wa Greece waandamana mjini Athens
Iliyochapishwa

Zaidi ya raia elfu mia moja na arobaini wa Greece wameshiriki maandamano mjini Athens kupinga taifa la Yugoslavia kutumia jina Macedonia na kuwataka kulibadili. Je wewe unaweza kubali kubadilisha jina la taifa lako? Sema nasi kwenye facebook,tafuta BBC Swahili.