Kufahamu zaidi kuhusu hatua ya Raila Odinga kujiondoa kwenye marudio ya uchaguzi Kenya

Maelezo ya sauti, Kufahamu zaidi kuhusu hatua ya Raila Odinga kujiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya
Iliyochapishwa

Baada ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kujiondoa kwenye marudio ya uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mweiz huu, sasa kuna maswali mengi kuhusu ni kipi kitafuatia. Upinzani unaamini kuwa uchaguzi unastahili kufutwa baada ya Odinga kujiondoa, na kutoa muda wa kutosha kufanyika mabadiliko yanayostahili ili uchaguzi kufanyika kuambatana na sheria na katiba.

Lakini wataalamu wa masuala ya sheria wanazungumzia vipi hali hii? BBC ilimhoiji Peter Amunga ambaye ni mshauri wa masuala ya sheria nchini kenya