Habari za Global Newsbeat 1100 25/09/2017
Iliyochapishwa
Maamlaka za Sri Lanka zimemtia mbaroni mwanamme mmoja kwa madai ya kuficha mapambo ya almasi ya kilo moja kwenye rektamu. Ametiwa mbaroni kwenyen uwanja wa ndege akijaribu kupitisha mapambo hayo kimagendo.